Blogspot - latestnewstz.blogspot.com - Latest News Tz

Latest News:

JK- Tunajua biashara ya dini inalipa, lakini msiivuruge Tanzania 31 Jan 2013 | 03:48 pm

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa mtindo wa kufanya fujo na kusababisha uvunjifu wa amani kwa visingizio vya dini nchini ni biashara inayolipa na ndiyo maana wakereketwa wa kufanya hivyo hawaishi. Hat...

UTARATIBU WA SHEREHE ZA EID EL ADH-HA LEICESTER UK 22 Oct 2012 | 11:43 am

Assalaamu Alaykum Wapendwa katika Imani, Kama mjuavyo, Inshaallah Eid El Adh-ha itasherehekewa Siku ya IJUMAA 26-10-2012 Ufuatao ni utaratibu wa Sherehe zetu hapa katika mji wa Leicester, Uingereza:...

TANZANIA KUONDOKA KATIKA KUNDI LA NCHI MASKINI IFIKAPO 2015 22 Oct 2012 | 11:41 am

Naibu Katibu Mkuu Mtendaji Ofisi ya Rais Kamisheni ya Tume ya Mipango, Bw. Clinfford K. Tandari, akifuatilia majadiliano yaliyohusu Utekelezaji wa Mpango wa Istanmbuli kwa nchi maskini maarufu kama LD...

BENKI YA KCB TANZANIA IMETOA MSAADA WA SHILINGI MILIONI TANO (5M) KCMC...!!! 29 Aug 2012 | 07:56 pm

Meneja wa Benki ya KCB tawi la Moshi Lomnyaki Saitabau (katikati) akizungumza wakati wa hafla ya makabidiano ya hundi yenye thamani ya shilingi 5m/- kwa ajili ya kusaidia ununuzi wa  vifaa katika chum...

BREAKING NUUUUUUUZ: AJALI MBAYA IMETOKEA MUDA MCHACHE ULIO PITA INASEMEKANA ASKARI KAMA WANNE WAFARIKI PAPO HAPO 25 Jul 2012 | 10:24 pm

Hii ni ajali ya gari dogo la police ilikua imebeba maabusu imepata ajali mbele tu kidogo ya chalinze, kama nusu saa iliyopita na askari kam 4 hivi wamefariki hapo hapo,,.nawengine wapo hoi saana!!..Mu...

Tanzania ni Salama kwa Watalii 30 May 2012 | 07:42 pm

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALI TAARIFA KWA UMMA Kufuatia vitendo vya vurugu zilizozuka hivi karibuni katika maeneo kadhaa ya Mji wa Zanzibar baada ya mitandao ya kimat...

MEDIA BRIEFING NOTE FOR THE GLOBAL 2013 SMART PARTNERSHIP DIALOGUE TO BE HELD IN DAR ES SALAAM, TANZANIA – 24TH TO 28TH MAY, 2013 29 May 2012 | 05:23 pm

Tanzania will host the next Smart Partnership Dialogue that is scheduled to take place from 24th to 28th May, 2013 in Dar es Salaam. President Jakaya Mrisho Kikwete, is  expected  to officiate the  Na...

Neno La Leo: Jambo La Zanzibar Ni Letu Bara, Lakini.... 28 May 2012 | 09:31 pm

Ndugu zangu, MFALME Suleiman aliambiwa ndotoni aombe kitu chochote kwa Mola wake, naye akajibu; “ Ewe Mola wangu, nipe mimi mtumwa wako moyo wa adili ili niwahukumu watu wako, na kupambanua mema na m...

Sentensi 6 za Zitto Kabwe juu ya vurugu za Zanzibar 28 May 2012 | 05:07 pm

 1.Vurugu za Zanzibar ni ‘unwanted distractions’ katika mchakato wa kuandika katiba mpya. 2. Hakuna namna vitendo hivyo vinaweza kuhalalishwa na kutetewa lakini ni matokeo ya muda mrefu ya ‘superfici...

Wakili maarufu afariki Dunia 28 May 2012 | 04:58 pm

MKURUGENZI Msaidizi wa ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, Stanslaus Boniface Makulilo (44) ‘Jembe’ amefariki ghafla usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam. Mkurug...

Recently parsed news:

Recent searches: