Blogspot - michuzijr.blogspot.ca - JIACHIE
General Information:
Latest News:
KAMPUNI YA CHLORIDE EXIDE YASAIDIA KITENGO CHA EMERGENCY CHA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI 27 Aug 2013 | 03:08 pm
Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kulia na Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakikabidhi Betri za kampuni hiyo kwa Mkuu wa Kitengo ch...
DADA YAKE FREEMAN MBOWE ARUDISHA KADI YA CHADEMA,AJIUNGA CCM NA KUKABIDHIWA KADI YA UANACHAMA 27 Aug 2013 | 02:04 am
DADA wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Mbowe, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM) akitokea Chadema, kwa kile alichodai haoni jambo jipya katika chama hicho. Grac...
RAIS KIKWETE NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI NA MSTAAFU MHE JOHN TENDWA 27 Aug 2013 | 01:21 am
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Jaji Francis Mutungi na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe John Tendwa baada ya kumuapisha Jaji Mutungi Ikulu jijini Dar es s...
REDD'S MISS TEMEKE ATOA MSAADA WA VITABU VYA SH. 300,000 SHULE YA MSINGI GULUKA KWALALA,UKONGA,DAR 27 Aug 2013 | 01:14 am
Malkia wa Redd's Miss Ilala 2013, Doris Mollel amkimkabidhi vitabu mwanafunzi Charles Costantino ambaye alipokea msaada huo kwa niaba ya Shule ya Msingi Guluka Kwalala, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam...
WAZIRI WA NISHATI NAMADINI PROF. MUHONGO AKAGUA MAENDELEO YA UTANDAZAJI MABOMBA YA GESI MTWARA-DAR 27 Aug 2013 | 01:08 am
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiwa na Balozi wa China nchini, Lu Youqing walipokuwa wakikagua mitambo ya kisasa ya kuunganisha mabomba ya kusafirishia gesi, katika ka...
RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI IKULU DAR ES SALAAM LEO 26 Aug 2013 | 09:42 pm
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa Vy....
MATUMIZI BORA YA MTAMA HUSAIDIA KUBORESHA LISHE 26 Aug 2013 | 09:27 pm
Afisa Mwandamizi Chakula na Lishe kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Bw. Onesmo Omella akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu matumizi bora ya mtama na jinsi unavyosaidia kuboresha lishe kwa mlaji, k...
PATA KIPANDE KIDOGO KUTOKA KWA SWEET PETER JEETER THE LOVE DOKTA 26 Aug 2013 | 09:16 pm
Swahili Radio inapatikana Duniani kote kutokea katika mtandao, katika Kompyuta aina zote, katika simu za mkononi za iOS - iphone,ipad,ipod, Android Samsung, LG, Pia katika Blackberry,Tablet aina zote....
mafunzo ya upigaji picha yafunguliwa leo mnazi mmoja mjini zanzibar. 26 Aug 2013 | 09:15 pm
Mkufunzi wa mafunzo ya kupiga picha yanayofanyika Jengo la ZBC, Karume House Mitsuhiro Hayao Matsuda kutoka Japan akitoa maelezo kwa washiriki (hawapo pichani) kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo. Mk....
KUTOKA VIKAO VYA CCM DODOMA: SIXTUS MAPUNDA ACHUKUA MIKOBA YA SHIGELA UVCCM, MANSOUR AOU ZANZIBAR 26 Aug 2013 | 08:02 pm
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, mjini Dodoma leo mchana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. BASHIR NKOROMO, Dodoma. HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapin...