Irib - kiswahili.irib.ir - Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran

Latest News:

Utawala wa Kizayuni waibua mgawanyiko katika serikali ya Kenya 20 Nov 2011 | 04:45 pm

Utawala wa Kizayuni wa Israel umeibua migongano miongoni mwa viongozi wa serikali ya Kenya kuhusu vita dhidi ya waasi wa al Shabaab nchini Somalia. Waziri wa Ulinzi Kenya Yusuf Haji amepinga hatua ya ...

Sala ya Ijumaa Tehran 1 Jan 2011 | 04:05 am

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema kuwa tarehe 30 Desemba ni siku ya hamasa kubwa kwa taifa la Iran na kwamba ni siku ya kubai utawala wa faqihi. Akihutubia halaiki kubwa ya waumini katika uwanj...

OIC yataka jamii ya kimataifa ishughulikie kadhia ya Quds 26 Dec 2010 | 06:21 pm

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiislamu (OIC) amewaandikia barua Mawaziri wa Mambo ya Nje nchi wavwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu hatari zinazoukabili Msikiti wa...

Iran kurusha anga za juu satalaiti mbili 26 Dec 2010 | 06:14 pm

Iran imesema inapanga kurusha katika anga za juu satalaiti mbili zilizotengenezwa hapa nchini zijulikanazo kama Fajr na Rasad. Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Ahmad V...

Wanajeshi wa DRC watuhumiwa kubaka na kuua 15 Oct 2010 | 05:05 pm

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa amesema kuna uwezekano kuwa wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametekeleza mauaji na ubakaji. Bi.Margot Wallstrom anayeshughulikia masuala ya ubakaji vitani ames...

Bill Clinton: Washington ijiweke tayari kupoteza nafasi yake ya kuudhibiti ulimwengu 7 Oct 2010 | 05:19 pm

Bill Clinton, Rais wa zamani wa Marekani amesema, kutokana na kuongezeka nguvu za nchi kama vile China na India, Marekani ijiweke tayari kupoteza nafasi yake ya udhibiti wa ulimwengu. Bill Clinton ali...

Malori zaidi ya 40 ya NATO yachomwa moto na wanamgambo wa Taliban Pakistan 7 Oct 2010 | 05:15 pm

Malori zaidi ya 40 ya shirika la kijeshi la NATO yameteketezwa kwa moto katika mashambulio mawili tofauti yaliyofanywa na kundi la Taliban ya Pakistan huku wanamgambo hao wakishadidisha operesheni hiz...

Misri yatoa masharti kwa msafara wa misaada kwa ajili ya Wapalestina wa Gaza 7 Oct 2010 | 05:12 pm

Serikali ya Misri imetoa masharti matano kwa waandalizi wa msafara wa misaada kwa ajili ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza ili kuweza kuuruhusu msafara huo kupeleka misaada hiyo katika eneo hilo. Msafar...

Mzayuni na Mmarekani wapatikana na hatia ya kutaka kutuma silaha Somalia 7 Oct 2010 | 05:07 pm

Raia mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel na rubani wa zamani wa vikosi vya anga vya Marekani wamekiri kuwa walikuwa na mpango wa kusafirisha silaha kupeleka nchini Somalia . Idara ya Usalama wa Nda...

Jumatano. Oktoba 06, 2010 6 Oct 2010 | 06:19 pm

Leo ni Jumatano tarehe 27 Mfunguo Mosi Shawwal mwaka 1431 Hijria inayosadifiana na tarehe sita Oktoba mwaka 2010 Miladia. Katika siku kama ya leo miaka 1434 iliyopita yaani miaka mitatu kabla ya kalen...

Recently parsed news:

Recent searches: