Jambonetwork - jambonetwork.com - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
General Information:
Latest News:
Viongozi wasiokaguliwa ni 5:rais,makamu wa rais,waziri mkuu,jaji mkuu na spika 27 Aug 2013 | 06:12 am
KUANZIA sasa viongozi wote serikalini watakaopita kwenye viwanja vya ndege nchini, watakuwa wakikaguliwa kama abiria wengine, isipokuwa Rais, Makamu wake, Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na Spika wa Bunge. Wa...
CCM yateuwa makatibu wa mikoa 3, Makatibu wa Wilaya 24, Makatibu wa UVCCM, UWT na WAZAZI 27 Aug 2013 | 06:07 am
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo imemamliza kikao chake cha siku tatu chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete ikiwa imeridhia mapendekezo kadhaa ya Kamati Kuu ya CCM, ikiwemo kum...
Bajaji inapogeka kuwa gari la kubebea mizigo.... 27 Aug 2013 | 04:48 am
Kamera yetu hivi ilibahatika kuwanasa jamaa hawa wakipakia Uchafu kwenye usafiri huu wa Bajaj ambao ni maarufu kwa kubebea Abiria hapa nchini,lakini kwa jamaa hawa ikawa ni tofauti na mazoea huku waki...
Tumuombee kwa mungu amponeshe huyu mtoto inshallah sema ameen. 27 Aug 2013 | 04:35 am
KIPAJI: Nina uwezo wa kumchora mtu kwa kutumia hisia...!!! 27 Aug 2013 | 03:22 am
Kwa nchi zinazoendelea kama Tanzania, suala la uendelezwaji wa vipaji limekuwa gumu sana aidha kutokana uelewa mdogo wa wazazi, fursa kama hizi kutopewa kipaumbele na ukosefu wa mifano hai ya watu wal...
Nina uwezo wa kumchora mtu kwa kutumia hisia...!!! 27 Aug 2013 | 03:21 am
Kwa nchi zinazoendelea kama Tanzania, suala la uendelezwaji wa vipaji limekuwa gumu sana aidha kutokana uelewa mdogo wa wazazi, fursa kama hizi kutopewa kipaumbele na ukosefu wa mifano hai ya watu wal...
Wajanja wanavyozidi kuneemeka mavuno Kivuko cha Kigamboni 27 Aug 2013 | 03:17 am
Mchezo mchafu unaelezwa kuikosesha Serikali mamilioni ya fedha kwenye vivuko vya Magogoni na Kigamboni, Dar es Salaam. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili hivi karibuni, umegundua ukwepaji malipo una...
News Alert: Hiv nafuu ya mwalimu ipo wapi? 27 Aug 2013 | 03:07 am
NUkuu"MNYONGE MNYONGENI LKN HAKI YAKE MPENI"Hii imekuwa kinyume kwa walimu wa manispaa ya knondoni,cfaham kama kunaurasmi wa hili lnalotendeka manspaa hii nikwa chi nzima hvhv?, kwani walimu wamekuwa ...
Msaada kuhusu asali 27 Aug 2013 | 02:54 am
Wana JF,naomba mnisaidie anayefahamu mnunuzi wa asali kwa jumla,au anayenunua asali . namba zangu hizi hapa 0717 796 234 au 0653 38 22 44 au 0719 647 947,niko Dar .any time...
Nani aolewe? 27 Aug 2013 | 02:52 am
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:- WA KWANZA . Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani WA PILI .Mapepe,...