Jestina-george - jestina-george.com

General Information:

Latest News:

UPDATE PICHA ZA BAR YA SAMAKI SAMAKI ILIVYOTEKETEKEA NA MOTO. 27 Aug 2013 | 08:03 pm

Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea kuzima moto ulioteketeza baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteke...

UAMUZI WA CCM KUHUSU BUKOBA. 27 Aug 2013 | 07:56 pm

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi  wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi wa kamati kuu wa kubatilisha kufukuzwa kwa madiwani wa Bukoba nje ya ukumbi wa NEC. TAARIFA KWA ...

KIJIWE CHA UGHAIBUNI NUMBER 30. 27 Aug 2013 | 07:54 pm

MAJAJI WANAOWALINDA WAUZA UNGA "SEMBE" WATAJWA. 27 Aug 2013 | 07:10 pm

Vita dhidi madawa ya kulevya inayoangamiza mamilioni ya watanzania inaendelea. Gazeti la Jamhuri leo limekuja na story ndefu ya kesi na majina ya majaji wanaolinda wauza unga hao mahakamani. Majaji Pe...

VIDEO: QUEEN LATIFA NEW TALK SHOW KUANZA KUWA HEWANI SEPTEMBER 16. 27 Aug 2013 | 04:58 pm

Get a sneak peak at The Queen Latifah Show, Queen Latifah's new show on daytime. Premieres Sept. 16th. Head tohttp://queenlatifah.com to find out where to watch, how to get tickets, and how to be on t...

SAMAKI SAMAKI "MBEZI" YATEKETEA KWA MOTO MCHANA HUU. 27 Aug 2013 | 04:11 pm

Picha zikionesha Bar ya samaki samaki ilivyo teketezwa na moto mkubwa mchana huu. endelea kuwa nasi kwa habari zaidi

MTOTO AFANYISHWA MAPENZI MDOMONI NA ZEE LA MIAKA 54 HUKO MPANDA. 27 Aug 2013 | 03:03 pm

Fundi baiskeli  mmoja mkaazi wa mtaa wa Nsemlwa, wilaya ya Mpanda, mkoa wa Katavi,  Athumani  Mussa (54) amefikishwa jana katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda kwa tuhuma za kumlawiti (...

KAMPUNI YA CHLORIDE EXIDE YASAIDIA KITENGO CHA EMERGENCY CHA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI. 27 Aug 2013 | 02:24 pm

Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kulia na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakikabidhi Betri za kampuni hiyo kwa  Mkuu wa Kitengo ch...

Recently parsed news:

Recent searches: