Millardayo - millardayo.com - Comments on:
General Information:
Latest News:
Hii sijawahi kuona, taarifa kuhusu Wanafunzi wote wa Form six kufeli. 27 Aug 2013 | 03:05 pm
Kwenye post hii tunajiunga na bbcswahili.com ambao wameandika….. kwa mara ya kwanza katika historia ya Liberia, wanafunzi wote wamefeli mtihani wao wa mwisho wa sekondari na hiyo inamaanisha hakuna ha...
Interview ya Vanessa Mdee nyumbani kwake, amealikwa wapi? ‘closer’ inachezwa na station gani za nje? 27 Aug 2013 | 02:16 pm
Nafahamu single ya ‘me and you’ aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz ndio ilifanya Tanzania ifahamu kwamba kuna nafasi mpya inamilikiwa rasmi kwenye bongofleva na mrembo anaitwa Vanessa Mdee. Baada ya hap...
Kilichotokea 89.7 Singida kati ya Chidi Benz na Ney wa Mitego na picha iliyopigwa. 27 Aug 2013 | 01:11 pm
Yeyote ambae damu yake ipo sana kwenye muziki wa bongofleva ni lazima atakua anafahamu kuhusu ugomvi wa muda mrefu, kutoelewana kwa Chidi Benz na Ney wa Mitego, ishu ambayo ilihusishwa hata kwenye nyi...
Jokate na Lucci wanaileta documentary ya behind the scene ya “Kaka dada” 27 Aug 2013 | 11:47 am
Video kali kama hii lazima utakuwa na hamu ya kuona jinsi ilivyotengenezwa… ‘Kaka dada’ video ya Lucci na Jokate ambayo imetoka ijumaa wiki iliyopita ina story nyingi sana nyuma yake ambazo wengi hawa...
Video mpya ya @Wakazi iliyofanyika Chicago – “Niko tayari” 27 Aug 2013 | 11:14 am
Wakazi mkali wa Hiphop ambae aliwahi kumiliki stage ya BBA2013 akiwa ni msanii kutoka Tanzania, ametoa video yake ambayo aliifanyia Chicago Marekani. Hii single ni soundtrack ya movie ambayo iliandal...
Mourinho kampa Rooney saa ngapi? 27 Aug 2013 | 11:08 am
. Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amempa mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney saa 48 za kufanya maamuzi, yakiwa ni maneno aliyoyatoa wakati anajibu maswali ya waandishi wa habari juu ya Roon...
Magazeti ya leo August 27 2013 Udaku, Michezo na Hardnews 27 Aug 2013 | 10:12 am
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
Hii ndiyo kampeni ya Diamond Platinumz kwa ajili ya wimbo wake “Number one” 27 Aug 2013 | 03:43 am
Diamond yupo kwenye hatua za mwisho kutoa wimbo wake na video ya yake ya “Number one”. Picha kadhaa zimetoka kwenye internet zikionyesha sehemu za video hiyo ambapo ndani yake kuna magari ya kifahari....
Matokeo ya Manchester United vs Chelsea Aug 26 2013 27 Aug 2013 | 02:19 am
Use Facebook to Comment on this Post
Dillish aondoka na dola 300,000 na Elikem ashinda holiday yenye thamani ya dola 10,000 26 Aug 2013 | 02:40 pm
Dillish ndiye mshindi wa Big brother the Chase na kuondoka na dola 300,000.Kutokana kura zilizopigwa na watazamaji, Dillish amepata kura 5, akifatiwa na Cleo aliyepata kura 4. Elikeem amechaguliwa ku...