Moe - moe.go.tz
General Information:
Latest News:
Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi katika Uzinduzi wa BRN 15 08 2013 16 Aug 2013 | 01:53 am
HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI, MHE. DKT. SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA(MB) KATIKA UZINDUZI WA UTEKELEZAJI WA MIKAKATI YA MATOKEO MAKUBWA SASA KATIKA SEKTA YA ELIMU. UKUMBI WA MWALIMU NYERE...
HOTUBA YA WEMU KWA REOs DEOs NA WAKAGUZI WAKUU - BRN_14 08 2013 15 Aug 2013 | 04:27 am
HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI, MHESHIMIWA DKT. SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA (MB) KATIKA WARSHA YA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA KATIKA SEKTA YA ELIMU ILIYOTOLEWA KWA WATENDAJI WA ELIMU N...
WANAFUNZI AMBAO HAWAKURIPOTI SHULENI MWAKA 2012, WANAFUNZI WALIOSOMA NJE YA NCHI 15 Aug 2013 | 01:08 am
WANAFUNZI AMBAO HAWAKURIPOTI SHULENI MWAKA 2012 KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI, WANAFUNZI WALIOSOMA NJE YA NCHI NA WANAFUNZI AMBAO MATOKEO YAO YA MITIHANI YALICHELEWA KUTOLEWA NA BARAZA LA MITIHANI
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO MAALUMU YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA 9 Aug 2013 | 11:11 am
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO MAALUMU YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KUPITIA MPANGO MAALUMU (BRIDGING COURSE) KWA MWAKA WA MASOMO 2013/2014
TANGAZO UZINDUZI WA MPANGO WA KULETA MATOKEO MAKUBWA SASA (BIG RESULTS NOW) KATIKA SEKTA YA ELIMU 7 Aug 2013 | 09:44 pm
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa (MB), anawaalika wadau wote wa Elimu nchini kwenye Maonesho ya Wazi ya Uzinduzi wa Mpango wa Kuleta Matokeo Makubwa Sasa ...
TANGAZO LA SKOLASHIPU ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI YA MEXICO KWA TANZANIA KWA MWAKA 2014 7 Aug 2013 | 09:32 pm
Serikali ya Tanzania imepokea mwaliko wa Skolashipu kutoka kwa Serikali ya Mexico kwa mwaka 2014.
ORDINARY LEVEL SECONDARY : USING LOCALLY AVAILABLE MATERIALS AND STUDENT PRACTICAL WORKSHEET 1 Aug 2013 | 09:07 pm
ORDINARY LEVEL SECONDARY EDUCATION USING LOCALLY AVAILABLE MATERIALS AND STUDENT PRACTICAL WORKSHEET
ORODHA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO WALIOBADILISHIWA SHULE/MACHAGUO-2013 1 Aug 2013 | 07:43 am
MABADILIKO YA SHULE NA MACHAGUO KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA 5 MWAKA 2013
ORODHA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO WALIOBADILISHIWA SHULE/MACHAGUO-2013 1 Aug 2013 | 07:43 am
MABADILIKO YA SHULE NA MACHAGUO KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA 5 MWAKA 2013
MATOKEO YA UALIMU 2013 1 Aug 2013 | 01:41 am
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA MATOKEO YA UALIMU 2013 MATOKEO YA UALIMU 2013