Orijinokomedi - orijinokomedi.com
General Information:
Latest News:
Likizo ya OK:TBC1 kurudia vipindi vya zamani. 28 Jan 2012 | 04:12 am
Televisheni ya Taifa TBC1 imeamua kurudia vipindi vya zamani katika kipindi chote ambacho OK ikiwa likizo.
OK iko likizo kwa Januari nzima 2012 28 Jan 2012 | 03:40 am
Orijino Komedi iko likizo kwa kipindi chote cha mwezi Januari 2012. Wasanii na wafanyakazi wa OK,
Vengu aenda matibabu India 28 Jan 2012 | 03:12 am
Joseph D. Shamba - Vengu amesafirishwa kupata matibabu ya ziada katika hospitali ya Apolo nchini India takribani majuma matatu yaliyopita. OK inatoa shukrani kwa serikali kuu, wizara ya afya, hospital...